Galaxy s5..nimeingizwa cha kike

hahahahaa Mpwa sasa mbona unanicheka tena? Ni Dubai na hawa jamaa huwa siwaamini sana ndio maana

Hahaha umenifurahisha sana
Hata kabla hujafungua box Tayari usha tetemeka
Ila kama ni from Dubai. ..hiyo nadhan ni ya uhakika
 
Yani huu uzi umenifurahisha nimecheka hadi badi utadhani nipo cheatchat maana watanzania tunaonewa sana na hawa macho madogo (chines) Unaona nchii itakuwa imeisha umizwa sana hata yale mavifaru ya sherehe za muungano nayo ni clone tu!
 
Yani nikitaka kununua simu ya zaidi ya 300,000 naenda kwa wakala moja kwa moja.

Headache sitaki
 
Jamani galaxy s5 clone ni mwiho wa clone. kuna jamaa kaniletea nimfanyie mambo, duh! kila kitu kama original
mkuu nikushauri ,pamoja na yote kinachoumiza sana ktk smartphone ni speed lakini s5 clone inarun 3G mpaka H+
 
tofauti kubwa kati ya S5 original na clone ni kwamba unapozigeuza geuza kwenye mwanga S5 original huonesha rangi ya dack-bluu simu ikiwa imezimwa but kwa S5 clone huonesha black..
hiyo ndio tofauti kubwa kuliko zote na hiyo ni rahisi kutambua tofauti kati ya ORIGINAL NA CLONE
pia zoezi hili waweza kutumia kwenye S3 na ,S4 pia
 
Only way to identfy original samsung galaxy is by
1😛ut phone in download mode (fake cant )
2:connet phon in computer by using samsung kies software (fake wont be recognised by samsung kies)
 
mkweli wa mambo km umeshadownload hyo cpu z leta mrejesho wa ukwel wa mambo hapa,,haha
 
Last edited by a moderator:

Hyo nimeikubali mkuu
 
Original pekee inaweza kuonuesha hii screen ukiiweka kwenye download mode
 

Attachments

  • 1403378004702.jpg
    55.3 KB · Views: 196
Only way to identfy original samsung galaxy is by
1😛ut phone in download mode (fake cant )
2:connet phon in computer by using samsung kies software (fake wont be recognised by samsung kies)
Wewe unaongelea wanazouza barabarani clone ya dukani inafanya vyote hivyo! Sema lingine.
 
Shida yote ya nini wakuu mpaka uanze kukariri njia za kujua simu original!!! Nenda kwa authorized dealer nunua kitu cha uhakika unapewa na warrant,tusipende vya bei rahisi vina gharama.
 
Usiongee bila ushaidi unajua hata download mode inawekwa vipi? Umewahi kufanya mwenyewe kwenye clone ikakubali?advanced clone ni s5 & haiwez kuingia download mode.ni kaz yangu ninayoifanya kila siku.am speak frm exprnc
 
Only way to identfy original samsung galaxy is by
1😛ut phone in download mode (fake cant )
2:connet phon in computer by using samsung kies software (fake wont be recognised by samsung kies)

vipi kuhusu kutuma imei kwenda 15685 ambapo utakua unaisajili na kupata Samsung 2 yrs warranty?
crone nazo zinakubali? maana iyo short code ni ya Samsung east Africa
 
Tumia cpu z then galaxy s4
ukakuta CPU ni MediaTek instead of
exynos, just know kwamba
umenunua clone.
 
heeeeh mie hoi hapa! hivi na hizi sumsung zenye double line ni origional kweli?
 

Njia gani ulitumia? Clone mbona zinajulikana kwa kuzishika tu. Jifunze kutumia IMEI No kutambua simu kama ni Original or Original fake or fake. Pole sana mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…