Galaxy s4

Galaxy s4

Sorry tatizo na mm pia nina samsung s4 original 16GB ya AT& T nime unlock network lakini haina network nzuri huku mikoani ni 4G network
 
Mkuu inaonekana hii ni S4 clone 1:1
Ram inaonyesha ina ngapi?
Utata upo kwenye internal storage, orijino zinaanzia 16gb ako ina 8gb
tusubiri wataalam zaidi
Hiyo ni orijino sawa ina 16gb ila os na preinstalled app zinachukua kama 7gb.
 
Ingia settings angalia data usage. Inaonesha usage ya bundle.
 
tumlack na Paul S.S nina mashaka nyie hamjawahi tumia S4 original. S4, LG G2, iPhone 5s na hata xperia Z1 hazikupi GB wanazosema. hii ni kwasababu kuna pre installed apps, OS na vinginevyo. ukikutana na S4 ina 16gb nipigie screenshot nione

1zf0y81.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom