Galaxy s4

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Habari za leo wanajf!

Jana nimenunua s4 kwa mtu bado tu ina hali nzuri.
Nikaweka laini yangu kisha nika-restore ili nianze kutumia.

Nilipoingia playstore ikanielekeza apps za ku-update nikafanya hivyo kama inavyonielekeza. Lakini nikagundua tatizo la kila nikiweka kifurushi kinapitiliza(yaani kinaisha kabla ya kutumia).

Nika-uninstall baadhi ya apps kwa kubuni, lakini sasa naona tena iko sloo sana.

Naomba kwa wajuzi hii mambo nifanyeje ili nipate speed ya kawaida.

Asante nawasilisha!
 
Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000

mkuu s4 ni sawa na kompyuta ndio maana mb zinaisha haraka.mfano mimi mb 350 ninazopata ktk kifushi cha 2000 airtel yatosha kinakaa siku 3 tu.kwanza simu yenyewe inakutamanisha kubrowse kila unachokitaka maana ipo fasta sana
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
mkuu s4 ni sawa na kompyuta ndio maana mb zinaisha haraka.mfano mimi mb 350 ninazopata ktk kifushi cha 2000 airtel yatosha kinakaa siku 3 tu.kwanza simu yenyewe inakutamanisha kubrowse kila unachokitaka maana ipo fasta sana

Je? Kubusu kuzembea kunasababishwa na nini?
 
ilonga

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
1,026
2,000
Deactivate kitu inaitwa "Auto-sync", itafute kwenye settings.
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
Deactivate kitu inaitwa "Auto-sync", itafute kwenye settings.
Sidhani kama hilo ni suluhisho kwa slow speed. Auto-sync ni simply a feature inayofanya atumie account yake aliyoiset mwenyewe kwenye apps zote zitakazohitaji yeye kupoteza muda anaandika account yake, au kusunc contacts kwenye apps zitakazohitaji feature kama hii hai-run kwenye background kiasi cha kuslow down simu, inafunguka pale tu inapojaribu kuwa accessed na certain apps.....

Kama inaenda slow ni either ukifungua apps zako huzifungi, unaziacha zote zina-run kwenye background na kama ni heavy apps basi lazima iende slow, cha kufanya funga background apps uache zile tu unazotumia, afu muda mwingine unawezakua unahitaji updating your OS labda kama kulikua na errors ziwe fixed, pia usipoteze muda kuweka antivirus kama wewe ni mpenda antivirus, zinakula tu nafasi bure, na apps nyingi zinazodai kuongeza battery life au speed, hua ni scam tu.. Ukifanya yote hayo bado iende slow basi hiyo yaweza kua clone tu isiwe the original S4..
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Sidhani kama hilo ni suluhisho kwa slow speed. Auto-sync ni simply a feature inayofanya atumie account yake aliyoiset mwenyewe kwenye apps zote zitakazohitaji yeye kupoteza muda anaandika account yake, au kusunc contacts kwenye apps zitakazohitaji feature kama hii hai-run kwenye background kiasi cha kuslow down simu, inafunguka pale tu inapojaribu kuwa accessed na certain apps.....

Kama inaenda slow ni either ukifungua apps zako huzifungi, unaziacha zote zina-run kwenye background na kama ni heavy apps basi lazima iwnde slow, cha kufanya funga background apa uache zile tu unazotumia, afu muda mwingine unawezakua unahitaji updating your OS labda kama kulikua na errors ziwe fixed, pia usipoteze muda kuweka antivirus kama wewe ni mpenda antivirus, zinakula tu nafasi bure, na apps nyingi zinazodai kuongeza battery life au speed, hua ni scam tu.. Ukifanya yote hayo bado iende slow basi hiyo yaweza kua clone tu isiwe the original S4..

Asante kwa maelekezo, ngoja nijaribu!
 
ilonga

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
1,026
2,000
Sidhani kama hilo ni suluhisho kwa slow speed. Auto-sync ni simply a feature inayofanya atumie account yake aliyoiset mwenyewe kwenye apps zote zitakazohitaji yeye kupoteza muda anaandika account yake, au kusunc contacts kwenye apps zitakazohitaji feature kama hii hai-run kwenye background kiasi cha kuslow down simu, inafunguka pale tu inapojaribu kuwa accessed na certain apps.....

Kama inaenda slow ni either ukifungua apps zako huzifungi, unaziacha zote zina-run kwenye background na kama ni heavy apps basi lazima iende slow, cha kufanya funga background apps uache zile tu unazotumia, afu muda mwingine unawezakua unahitaji updating your OS labda kama kulikua na errors ziwe fixed, pia usipoteze muda kuweka antivirus kama wewe ni mpenda antivirus, zinakula tu nafasi bure, na apps nyingi zinazodai kuongeza battery life au speed, hua ni scam tu.. Ukifanya yote hayo bado iende slow basi hiyo yaweza kua clone tu isiwe the original S4..
Nili suggest deactivation of auto sync kutatua hilo la bundle kuisha mapema. na si kutatua la simu kuwa slow.
 
Paul S.S

Verified Member
Aug 27, 2009
6,083
2,000
Mkuu kwani una apps nyingi sana na nzito
Hebu jishugulishe kujua kama S4 yako ni orijino au mchina

Hili dude kama ni mtumiaji wa kawaida wa simu huwa lipo very fasta
Labda kama umelijaza matakataka ya apps kibao
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Mkuu kwani una apps nyingi sana na nzito
Hebu jishugulishe kujua kama S4 yako ni orijino au mchina

Hili dude kama ni mtumiaji wa kawaida wa simu huwa lipo very fasta
Labda kama umelijaza matakataka ya apps kibao

Labda mkuu naomba unisaidie kuangalia mimi nimejaribu kuangalia kupitia hapa nikaona kama orijino;-
 
Attachments

 • 1400767240401.jpg
  File size
  57.5 KB
  Views
  216

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Nilipoandika hivi *#0*# ikanionyesha;-
 
Attachments

 • 1400767917322.jpg
  File size
  44.7 KB
  Views
  228

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Nilipobonyeza sensor ikanionyesha hivi;'
 
Attachments

 • 1400768104956.jpg
  File size
  71.9 KB
  Views
  222

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Mkuu kwani una apps nyingi sana na nzito
Hebu jishugulishe kujua kama S4 yako ni orijino au mchina

Hili dude kama ni mtumiaji wa kawaida wa simu huwa lipo very fasta
Labda kama umelijaza matakataka ya apps kibao

Kuhusu apps mimi sijaweka nyingi lakini zilizokuwepo kwenye simu ni zaidi ya 26
 
msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,833
2,000
So sorry waungwana nawatoa kwenye mada kidogo ila ni kuhusu hili hili la s4 lcd screen ya imepasuka kwa dar naweza wapi replacement na bei gani asante sana
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Nilipoandika hivi *#9900# ilinionyesha;-
 
Attachments

 • 1400769218232.jpg
  File size
  52.3 KB
  Views
  189

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
678
195
Labda mkuu naomba unisaidie kuangalia mimi nimejaribu kuangalia kupitia hapa nikaona kama orijino;-

Mkuu hiyo s4 feki au clone.....
s4 original ina 16/32/64 GB internal memory ila yko wew ina 8GB....
pia RAM yko imebak 198mb laZma iwe slow tu....
msaada mwingine embu angalia quality ya picha inayo piga...alafu upload tuione
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Mkuu hiyo s4 feki au clone.....
s4 original ina 16/32/64 GB internal memory ila yko wew ina 8GB....
pia RAM yko imebak 198mb laZma iwe slow tu....
msaada mwingine embu angalia quality ya picha inayo piga...alafu upload tuione

Sawa mkuu ngoja nijaribu!
 
Mkuu nimejaribu kuangalia s4 ya jamaa mwingine jirani nayo nimekuta inafanana na hii.
Nimejaribj pia kwenda kwa watu kama wawili wengine watumia na wazoefu wa hizi kitu. Lakini wameniam ia hii ni orijino
 
kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,314
1,500
Na pia leo nimetoa app ya antivirus kuanzia asubuhi ni H+ kwenda mbele yaani ni vifurushi na chaji tu ndio zinaamua.

Dude ni tamu kinoma nimeanza hata kusahau ile note2 maanake jana nilianza kuikumbuka!
 
Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000
Na pia leo nimetoa app ya antivirus kuanzia asubuhi ni H+ kwenda mbele yaani ni vifurushi na chaji tu ndio zinaamua.

Dude ni tamu kinoma nimeanza hata kusahau ile note2 maanake jana nilianza kuikumbuka!
big up mkuu karibu uinjoi ktk ulimwengu wa s4
 
Attachments

 • 1400864665412.jpg
  File size
  11.1 KB
  Views
  197

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom