Acha ukali kaka, sasa unauza simu ya S4 unatoa picha ya nokia tochi, Na pia unatoa picha ya boksi! Kwani unauza boksi la S4? Si utoe picha ya real simu kaka
Acha ukali kaka, sasa unauza simu ya S4 unatoa picha ya nokia tochi, Na pia unatoa picha ya boksi! Kwani unauza boksi la S4? Si utoe picha ya real simu kaka
Simu ndio natumia hapa mkuu.. hiyo ni box lake tu nimeipresent. Cm ni mpya na haina hata micro scratch maana nlivyonunua nliweka screen protector na cover protector so kama huijui unaweza kuangalia google.com ukiangalia huko ni sawa nakuiangalia hii. Pia kama unamaswali mengine unaweza ukaniuliza hapa zaidi au ukanipigia kwa maswali.