Galaxy S4 clone mpya kwenye box

Galaxy S4 clone mpya kwenye box

Firewall

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
272
Reaction score
61
Galaxy S4 clone mpya pieces za kutosha, zipo kwenye box na accessories zake zote: Charger, earphones na usb cable,
price: 350,000/= Tsh
Nicheki PM au contact 0716683434
 
Wakuu nivumilieni kidogo, nipo sehemu yenye network mbovu so kuupload picha ni tatizo
 
Galaxy S4 clone mpya pieces za kutosha, zipo kwenye box na accessories zake zote: Charger, earphones na usb cable,
price: 350,000/= Tsh
Nicheki PM au contact 0716683434

clone si ndo feki!??
 
ninayo 921349-200x150.jpgiyo niclone ila ni 3 ipo kwenye box lake bei 270,000 km upo interested nipm maelewano yapo nimeweka tangazo nakwenye inauzwa blog karibu
 
Simu bado zipo za kutosha, zimebaki kama 50 hivi, karibuni!
 
Galaxy S4 clone mpya pieces za kutosha, zipo kwenye box na accessories zake zote: Charger, earphones na usb cable,
price: 350,000/= Tsh
Nicheki PM au contact 0716683434

Hivi mtu na akili zako timamu unanunua kitu feki ilimradi tu na wewe uonekane una S4! Tubadilike jamani!
 
Hivi mtu na akili zako timamu unanunua kitu feki ilimradi tu na wewe uonekane una S4! Tubadilike jamani!

kaka uogopa mtaani mtaonekana wengi mna S4? ku-maitain status panda juu yao si kulalamikia fake.
 
kaka uogopa mtaani mtaonekana wengi mna S4? ku-maitain status panda juu yao si kulalamikia fake.

Mimi silalamiki na ungejua sio wa kihivyo...tatizo nawashangaa watu wanavyopaga wa na hizo S4 wakati mifuko yenyewe imetoboka...mpaka wanaenda kununua cloned phones.
 
Back
Top Bottom