Galaxy s3 demo unit

Galaxy s3 demo unit

Utamu

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
26
Reaction score
2
Habari wanajukwaa,
naomba msaada au kueleweshwa,nilimeuziwa kwa bahati mbaya simu ya galaxy s3 demo unit badala ya mobile phone,inafanya kazi kila kitu kasoro kuwa na slot za chip ambazo hazijafunguliwa,kwa wajuzi nifahamisheni kama kuna namna yoyote ya kuifanya mawasilianao ya sauti mana mawasilianao mengine yote yapo,\asanteni sana
 
Yaani kava ya nyuma unaweza kutoa? Na kuna sehemu ye kuweka sim card?
 
Yaani kava ya nyuma unaweza kutoa? Na kuna sehemu ye kuweka sim card?
kila kitu ni sawa na galaxy s3 ya kawaida,na inafanya kazi sawa kabia,zile sloy za kuweka chip pia zipo but blocked
 
mkuu kuna simu zinaitwa dumb phone hizi ni za maonyesho kwenye maduka makubwa ya simu ila zinakua si simu za kweli angalia mkuu usje kua umeuziwa kimeo
 
mkubwa hiyo simu haina IMEI number na kwenye PCB (printed circuit board) yake hakuna components nyingi kama antenna, ambazo ni necessary for GSM communication kuna forum ya android developers wamediscuss kuhusu unit kama ya kwako kwenye hii link

forum.xda-developers.com/showthread.php?t=1727962

hizo demo unit zina sticker ya "NOT FOR SALE" sehemu ya IMEI number ukiifungua simu na hutumika kwenye maduka makubwa kutangaza/kuonyesha features za simu husika.
 
Back
Top Bottom