Galaxy s 2 for sale

ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,844
232
Samsung Galaxy S II ipo sokoni Imetumika kidogo haina tatizo lolote,
Ina original chaja, headphone battery pack (extra battery)

Specs: cpu ni 1.2 Duo core Ram 1GB display HD
Camera 8 megapix HD video recording.

OS Andoid ver 4 ice cream sandwich.

Other feature ni Face unlock, usb on the go,

Application ya ku print kwenye network au kwa wireless

n.k

Available in Mwanza bei ni 700,000 maongezi yapo. call 0687014710 or send pm
 
29cc9e2c-0e86-94d7.jpg

29cc9e2c-0ea0-c0a3.jpg
 
Hizo picture nimetumia simu ambayo haina camera nzuri ila ingeweza kujipiga ni simu kali sana kioo kina protector so no scratch. guys kama kuna mtu anataka simu nzuri ni hii.
 
Aisee hii simu kwa hiyo bei labda upande kidogo maana ipo fresh kabisa.
 
Hiyo bei ni rahisi sana. Mimi yangu nilinunua 1.3 kwa Benson Arusha mwezi February mwaka huu.
 
Preta!!!

Mwasho kabisa ninaweza pokea 650,000 only sababu ni simu ya nguvu alafu ina PRO apps za maana.
 
Updates:

Galaxy S 2 ishauzwa,

Kuna Galaxy y pro duo android, imetumika miezi 2 tu ipo sokoni sasa hivi inauzwa sh 300,000
 
Back
Top Bottom