Galaxy Pocket: Screen Lock

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Habari zenu.

Naomba kujua jinsi ya kuUnlock screen ya simu tajwa hapo juu.

NB;
Jamaa amesahau Email aliyoitumia kwenye simu..

.
 
Habari zenu.

Naomba kujua jinsi ya kuUnlock screen ya simu tajwa hapo juu.

NB;
Jamaa amesahau Email aliyoitumia kwenye simu..

.

bonyeza batan ya kuongezea saut bila kuachia kisha bonyeza batan ya kuwashia utaona maneno yamedispaly hapo tumia batan ya kuongezea saut na kushushia ila kuteremka na kupanda kwenye list ya maneno yale chagua factory reset kisha bonyeza batan ya kiwashia mara moja. Utaona inatoa maneno mengi kisha kisha chagua tena reboot kisha bonyeza batan ya kuwashia itakua tayar. samahan kama melezo magumu kueleweka.
 
Habari zenu.

Naomba kujua jinsi ya kuUnlock screen ya simu tajwa hapo juu.

NB;
Jamaa amesahau Email aliyoitumia kwenye simu..

.

Sasa jamaa amesahau je email aliyotumia wakati android phone ni gmail account yako hii theoretically ni impossible

Kama ni yake mwambie afanye factory reset

Lkn kama sio yake,
Yaani tena fanya maneuver umrudishie mwenyewe maana smartphone za wizi hautakaa nayo mwez utaona askari wamekufuata

Na above all kama aliweka avast anti theft ashakutrace namba zako kashazipata na askari kitengo cha cyber crimes wamesubmit hizo namba kwa mitandao usika ili waku spy

Siku ya siku unaenda kutiwa Tanganyika jerk

N:B Kama si yako tupa au rudisha ulikotoa au omba msaada ili umjue mwenye afu umerudishie usijekamatwa ukaumbuka sijui wanao utawaonesha picha gani kwa kuhusika na hicho kisimu cha laki...tena weye jitoe wachie huyo anayezuga usahau email
 
njunwa wamavoko.
We toa ushauri.. Kuhusu uhalali wa kumiliki hiyo simu hayakuhusu...

Hakuna kanuni ya kusahau.kitu.
 
Last edited by a moderator:

Ngoja nifanye hivyo mkuu.
Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…