Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Wapendwa
Kuna rafiki yangu ameniletea simu ya Galaxy note 3 kutoka Dubai (mpya) ila naona ni clone
(zawadi ni zawadi hivyo nimeipokea)
Kimsingi inafanya kazi vizuri kwa kila kitu operation wise...ila nimeona Battery inaisha charge haraka (masaa mawili bila hata matumizi ya haja)...
Sasa naomba ushauri, kwa mwenye ufahamu wa clone (galaxy note 3)
Je nikiweka battery orginal tatizo litakwisha?
Wasiwasi wangu ni...isije kuwa simu ndio inatumia battery kwa ziada...nika pata hasara bure
Natanguliza shukrani