Kwa bei hiyo labda ukanunuliwe simu maduka ya Mombasa ama Zanzibar lakini kwa wadau wa huku Tanzania bara utapigwa tu kuanzia Laki 8
Unge specify, maana hizo note 2 zinamatoleo yake kama vile GT-N7100, GT- N7102 GT- N7105 etcNahitaji kwa 600,000/ iwe mpya na ORIGINAL. Ni PM au 0656299246 tufanye biashara