Mti mkavu01
Member
- Apr 25, 2020
- 9
- 11
Circuit nzima ya nn mkuu nielekeze vizur??Hili tatizo nilikua nalo kwenye samusung grand prime,nilibadilisha system chaji ikagoma,nikaipeleka kwa fundi wa hardware Aggrey kariakoo anaitwa Edga yuko ofisi moja na Imma wakachemka,nikabadili circuit nzima
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Mkuu niko kwenye maeneo ya Joto still inaniandikia phone temperature is too lows8 s8+ note 8 note 9 zote zinachangamoto hiyo kukiwa na baridi sana haiingizi chaji kukukiwa na joto pia hivyo kidogo note 8 inahimili.. bora ukiona inapata joto sana unaset ichaji kawaida isitumie mfumo wa fast charger...[emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219][emoji2219]
unaiweka kwenye joto kidogo mana mi huwa ikiwa joto naiweka kwenye ubaridi inarudi sawa unaweza kusoma online kuna maelezo kwa urefu kwann kuna hiyo changamoto....Wakubwa Habari...
Naomba msaada kwenye hili, Sim yangu SAMSUNG GALAXY NOTE 10 PLUS imekuwa inanisumbua kila nikichomeka charge inaandika Battery temperature is too low na haipeleki charge
Nifanye nini ili niondoe tatizo hili
Chief-Mkwawa
Leo nimeiweka kwenye jua kama masaa mawil hv lakn wap tatz liko pale paleunaiweka kwenye joto kidogo mana mi huwa ikiwa joto naiweka kwenye ubaridi inarudi sawa unaweza kusoma online kuna maelezo kwa urefu kwann kuna hiyo changamoto....
duuh hapo kwa fundi tu mkuuLeo nimeiweka kwenye jua kama masaa mawil hv lakn wap tatz liko pale pale
inaweza kuwa sensor au battery ndio shidaaa...Mkuu niko kwenye maeneo ya Joto still inaniandikia phone temperature is too low
NakaziaPeleka kwa fundi...
Ntafanya hvyo mkuuKama Upo Dar Es Salaam Wahi Samora Avenue Kwenye Dawati Lao
niliwahi kuexperience ilo tatizo....nilitok kwa fundi kuna kitu alisahau kurudishia wakati anaifunga ikawa inaleta iyo errorWakubwa Habari...
Naomba msaada kwenye hili, Sim yangu SAMSUNG GALAXY NOTE 10 PLUS imekuwa inanisumbua kila nikichomeka charge inaandika Battery temperature is too low na haipeleki charge
Nifanye nini ili niondoe tatizo hili
Chief-Mkwawa
Ya simuCircuit nzima ya nn mkuu nielekeze vizur??