Galaxy mpya kuingia sokoni ni S6

Kwa space za Xperia z3c wangekua Samsung wangeuza milioni mbili.
 

Mkuu mkwawa nakukubali sana ukianza kuzichambua simu, then unatujua cc vijana wa kileo tunapenda show off kibao and samsung is the best. Natumia samsung galaxy huwa nipo confortable anytime as if mm ndo nai control dunia.
 
Daaah hawa apple sijui wameniroga maana kuanzia 2g,3g,4s 5c na sasa nataka kuhamia kwenye 6 bado niko nao tu betri inazingua sana hizi simu sasa sijui kwanini hawazirekebishi sababu lazima kila siku nichaji simu kama nikifungulia 3g lakini bado niko nao tu hawa jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…