Jamii walker
Member
- Jun 18, 2013
- 39
- 9
Jaman wangwana mi natumia sumsung galaxy mini S5570 nmeinstall program chache lakin inanikera na neno phone storage is getting low ! Nashindwa ku install application nyngne na pia hata nikianza kuperuz JF ina vibrate na kunikomand ni close application. Plz nisaidien tatizo hili linanikera.