galaxy mini + 50,000Tsh

galaxy mini + 50,000Tsh

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
aliyetayari tubadilishane cmu, nitakupa galaxy mini na kiasi cha pesa 50,000.

NOTE: cmu iwe na uwezo zaidi ya hyo yangu. twende kazi..
 
aliyetayari tubadilishane cmu, nitakupa galaxy mini na kiasi cha pesa 50,000.

NOTE: cmu iwe na uwezo zaidi ya hyo yangu. twende kazi..

Ninayo nokia C7 twende kaz
 
yangu ni galaxy mini gt-s5570 ni android 2.2.1 so nataka yenye uwezo zaid ya hyo. umenipata mkuu?

Nenda dukani mkubwa,zipo zenye uwezo huo uutakao
 
Mie kam bado unayo nanunua kwa 50000 hata kama imezeeka nahitaji.kwa spea inbox au.0715696920
 
Back
Top Bottom