galax note 2 kwa galax note 10.1

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
5,000
Habari wana jamvi kwa anaehitaji....nina samsung galaxy note 10.1 original naitaji kubadilisha na samsung galaxy note 2....haina tatizo lolote na haijawai kwenda kwa fundi....sababu ya kubadilishana...nilinunua kwa ajili ya project fulani now imeisha sasa siitaji tena kwa ukubwa uliokuwa nayo ndio maana naitaji samsung galaxy note 2.ina kila kitu chake mpaka bluetooth keyboard
 
mkuu Hyo Ni Galaxy Tab 10!! au Maana Sjawah Skia Galaxy Note 10
 
mkuu Hyo Ni Galaxy Tab 10!! au Maana Sjawah Skia Galaxy Note 10

Hii ni samsung galaxy note 10.1 na si galaxy note tab 10.1...mkuu hivi ni vitu viwili tofauti, tab 10.1 haina pen galaxy note 10.1 inayo pen na hata kiukubwa galaxy note 10.1 ni kubwa...ingia google tafuta samsung galaxy note 10.1 au GT-N8000 Utajua nazungumzia nini.....hii namba yangu 0655200004
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…