Gaidi wa Ufaransa: Nimekuja kufa kwa ajili ya "Allah"

Ni kweli hawa magaidi wanaoua watu hovyo Mungu hajawatuma.

Lakini je yule aliyeamua kupoteza uhai wake kwa ajiri ya watu wake ni Mungu au mungu?
yule Aliyepoteza Uhai kwa Ajili Yetu ni MUNGU, Angekuwa ni mungu huyu Angekuwa Kaburini.

Huyu hawezi kujitetea mpaka atetewe na watu wafe kwa ajili yake.

Ndiyo maana Ipo tufauti kati ya mungu na MUNGU, nadhani umenipata vizuri Ndugu.
 
Hapo ndiyo tatizo kwamba ionekane haiwezekani watu kufa kwa ajiri ya Mungu lakini Mungu huyo huyo kufa kwa ajiri ya watu iwezekane!

Mkuu ni hoja gani inayotumika hapa kuonekana ni sawa Mungu kufa ila si sawa watu kufa kwa ajiri ya huyo Mungu..ni akili tu au maandiko?
 
Mbona yesu alikufa kwa ajili yetu....kwa hiyo naye juha..na mpuuzi mkubwa na mzembe
 
Kwani huyo Allah hana uwezo mpaka ufe kwa ajili yake, kama kufa kwa ajili yake ni lazima, basi kunyweni sumu lakini sio kuua watu engine.
 
Kuna mwengine alikuwa hana uwezo hadi aliamua kufa mwenyewe kabisa.
 
Nani sasa muuaji ni yule anayetengeneza silaha(ambazo hutumika kwa binadamu) au yule ambaye anatumia silaha hizo? Mi kwangu naona wote wauaji tu.

Wewe naye ni gaidi huna tofauti na hao wenzako
 
Wenzangu wakina akina nani?
 
Hapo ndiyo tatizo kwamba ionekane haiwezekani watu kufa kwa ajiri ya Mungu lakini Mungu huyo huyo kufa kwa ajiri ya watu iwezekane!

Mkuu ni hoja gani inayotumika hapa kuonekana ni sawa Mungu kufa ila si sawa watu kufa kwa ajiri ya huyo Mungu..ni akili tu au maandiko?
mkuu kwani huyo mungu hawezi kujitetea mpaka apiganiwe?

Ni mungu yupi anayependa ugovi na kupiganiwa ni sanamu asiweze kujitetea?

Huyo unae mdhiaki yupo hai na kazi zake zinamshuhudia kwa Jina Lake Majini yanawatoka watu, kwa Jina lake wagonjwa wanaponywa.

Sasa Kama Angekuwa kaburini wewe umeshawai kusikia maiti kamponya Mtu?

Tafakari chukua hatua.
 
Mi simzihaki wala kumsingizikia uwongo,ila nakufahamisha tu wakati wewe unaona jambo la mtu kufa kwa sababu ya aliyempa huo uhai unaona haliingii akilini kwa kuwa Mungu ana uwezo hivyo hawezi kutetewa na binadamu,basi pia tambua wengine pia huona jambo la Mungu mwenyewe kutokwa na uhai hali ya kuwa uhai na kifo ni yeye ndiye aliyeumba wengine huona haliingii akilini jambo hilo.

Na ndiyo maana nilikuuliza aliyekufa kwa ajiri ya watu wake ni mungu au Mungu? maana miungu iko mingi na ina sifa ya kufa ila Mungu alisema kabisa kuwa yeye hapatwi na umauti.
 
Kuna watu wanakufa kwa ajiri ya nchi yao au kazi zao. Mara ngapi tunaona polisi wanakufa wakati wakipambana na majambazi katika kulinda usalama wa rai ambaye ni sisi tunaochat tu humu.

Hivyo sioni ajabu hapo.
Yaani huyo Allah si ndiyo Mungu kwa lugha yetu kwa kiswahili?!! Kama ni Mungu anashindwaje kujitetea hadi ahitaji msaada wa mwanadamu?
 
Huo Uislamu unapinga ugaidi, nyie kazi kuichafua dini ya Mwenyez Mungu (Allah( subhanah wa ta'ala))
 
Yaani huyo Allah si ndiyo Mungu kwa lugha yetu kwa kiswahili?!! Kama ni Mungu anashindwaje kujitetea hadi ahitaji msaada wa mwanadamu?
Mkuu umeweza kukubali kuwa Mungu alikufa kwa ajiri yetu ila unakataa kuwa watu hawawezi kufa kwa ajiri ya Mungu!
 
Back
Top Bottom