Anajiona jemedari mbabe wakati ni mwanaume wa kawaida mwenye wadhifa wa urais
Mkuu Mimi niko bongo Mange anakula bata kwa TrumpKipindi hii wamama mmeamka kweli kweli. Au ndo MK mwenyewe kwa fake Id?? Naona tunakaribia karibia 26/4
Mkuu Mimi niko bongo Mange anakula bata kwa Trump
Anajiona jemedari mbabe wakati ni mwanaume wa kawaida mwenye wadhifa wa urais
Kwenye kioo kwa mbele anajiona Shababi, kumbe kiualisia kwa nyuma ni bonge la "bwabwa". Full "kipumulio".