Gaddafi's female bodyguards

Niliwahi kuona documentary ya hawa mabint siyo siri walinifurahisha kwa ukakamavu na elimu yaoya usalama. Kuna nyepesi zinasema kuwa huwa ni mabikira na wamekwenda shule ya ulinzi hakuna mfano!
 
Uwezekano kuwa anawatumia kama VIBURUDISHO na siyo walinzi ni mkubwa, walinzi hawajionyeshi namna hiyo, walinzi wenyewe wapo wanajificha, hao ni wapambe tu kama Matron kwenye harusi
 
This is kanali gada............
 

habari zisizo na ushahidi wowote.
kwanza kuwa sealed manake nini?bikra?au anawavalisha iron underpants?
bloggy news!
 
unaweza ukaiona falsafa fupi lkn believe me ni bonge la falsafa..no one like gadafi.
 
I think he trust women than men. He possibly believe that women cant kill him.
 
Alikuwa shemeji yetu kwa nani....? Mimi sijaelewa hapo baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…