STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,566
Huyu jamaa kilazaUjiulize suala moja tu. Jee Africa na Libya kwa sasa iko bora zaidi kwa vile Gadafi hayupo?
Hujui chochote na broken English yako hiyo! Inaonesha namna gani uko chini kimtazamo. Kama vile ulivoandika heading ya English.uliyokuwa huna hakika nayo kitafsiri, basi vilevile umekurupuka kuandika mada uliyokuwa hujafanyia utafiti. Unafikiria JF ni Groups za whatssapp.
Gadaffi aliuliwa na raisi wa Ufaransa wa wakati ule kwa sababu alitaka kutowa ushahidi dhidi ya.kesi iliyomkabili ya kupokea hongo kuendesha kampen ya uraisi. Hakuna chengine. Nyerere alikuwa hataki kuwaona hata Israil pia, sasa hivi tunao kila kona. Unajuaibisha kwa hoja zako za Std 2