Gadaffi to make a second speech on national TV shortly

Ukweli mimi nimekata tamaa kama walibya wataweza kumng'oa Gaddafi maana anawaua sana kama wahaya wanaua kumbikumbi. sasa watu wameshikwa na uoga nasikia hata wanaingia mitaani kum-support ni sababu ya kuogopa kuuliwa na mamluku. kwa hali hii katika siku saba zijazo Gaddafi atakuwa amejitangazia ushindi wa uhakika, yaani leo mchana nimeshindwa hata kula kwa huzuni
 
Huyu mwanaume akianza kuongea pls naomba mtujuze mapeeema...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom