Gadaffi slaps his aide

Ukiangalia maendeleo ya watu wa Libya, naeza kusema kwa kinywa kipana kwamba Kanali Muammar al Quddhaffi is a better leader than the rest of our misukule combined. Kama alivosema Koba hapo juu, he is just not likable na West na hiyo ndio turufu ya kumpaka matope maana kwenye angles za rasilimali (mafuta) amewabana mbavu. The same kwa Ahmadinejad. Siezi sema nakubaliana na kila wanachokifanya, lakini I personally commend their leadership because they understand the most basic or rather first principles za uchumi, kama hulindi na kuzitumia rasilimali zako u can fvck urself and forget about maendeleo. sie huku kazi kushabikia Slaa sijui uchaguzi na kusahau we don't need leaders wenye kutubeba mbelekoni, TUNATAKA MAENDELEO!!

Qadhdhafi anatambia petrodollars tu, hana kingine chochote cha kutufundisha zaidi ya theatrics. Angekuwa kiongozi asingejiuzulu na ku rescind kujiuzulu kwake bwana.

Waulize Wamisri wanamjua jirani yao Qadhdhafi na vituko alivyowafanyia tangu enzi za Sadat na Nasser.
 
Hizo petrodollars ndio zina-matter kwangu binafsi, na wala sihitaji kujifunza politiking. Thats my personal position. If he was able to successfully convert petrodollars into social well-being..what else can Libyans ask for ? Gunia la chawa?? Kama huna huna pesa u r just a NOBODY, na unapokuwa maskini wakati umezungukwa Utajiri wa kila namna u r just even worse, hakuna something katikati, u r either baba au baba-suruali.

Kuhusu wamisri, wao wana historia ndeefu ya u-puppet kwa Mmerekani, sijui story kamili ya kilichojiri behind the scenes kwene muungano wao na Wamisri, na baadae nadhani walipanga wawaweke Waalgeria au Moroccans..sina hakika. Huenda Quddhaff aliwashtukia kwamba wanataka kumchinjia baharini akaamua aanze kivyake mapema.

Sisi waTz kwetu bora ni kuwarithisha wanetu politiking, walibya wao wamechagua kuwarithisha wana wao uchumi uliokuwa converted from mafuta. Nina uhakika kwa trend tunayoenda nayo tutawarithisha vitukuu vyetu politix tu za akina vizazi vya misukule.
 
Swali la kujiuliza ni kwa nini AU summit ina wamanga kama Gadaffi wakati wamanga wana Arab League yao? Mimi bado hii haijaingia akilini. Kama kuna Arab League, wamanga wanafata nini AU?
 
Swali la kujiuliza ni kwa nini AU summit ina wamanga kama Gadaffi wakati wamanga wana Arab League yao? Mimi bado hii haijaingia akilini. Kama kuna Arab League, wamanga wanafata nini AU?

Ooops.....mbona America wana Obama?...hii mambo ya rangirangi sio nzuri kabisa...jumjadili Gaddafi kama Gaddafi na sio umanga wake....huu umanga ndio maana tukaacha kumpanchi mtu makini badala yake tukampa mcheza ngoma...just because sio mmanga
 
Hiyo ndio viongozi wanatakiwa kuwa sio kuchekacheka muda wote tu,ndio maana watu wanapanda kichwani na wanafanya watakalo bila kujali, kama kiongozi ni jeuri weee thubutu kufanya kufanya ujanga tulionao. Sifa ya kiongozi ni kujali na kutumika waliomweka madarakani na wala si kurithisha upande wa pili huku wananchi wako wakitaabika
 
dah kweli gadaffi ni noma yaani duh jamaa sijui anajisikiaje.sijui kama adhabu ndio imeisha anaweza akaenda kumtia ndani
 
Whoever said money speaks was damn right. Yes, slapping is one way of speaking especially when you can afford to pay!
 
soma the daily news la tarehe 28 ukurasa wa 5 utamuona kikwete amekubali wito wa gadaff
 
Bado najiuliza, kuchapa mtu kibao kwa kupoteza uelekeo wa mkulu au kumtwanga risasi nne binti mdogo (Trafic) kwa kosa kama hilo kipi ni kipi?
Au Kanali alimwita Luteni Kanali kumwambia adhabu inayostahili kwa kosa kama hilo ni kelbu na sio risasi nne? nahitaji msaada ktk ufahamu wangu mdogo.
 
Nimesema Waarabu wanachinjana, sijasema lolote kuhusu black Africans, mbona comprehension ndogo ?

Hivi waarabu wakiwa wanachinjana, na Wanyarwanda wakachinjana nao, huku kuchinjana kwa Wanyarwanda kunaondoa ukweli kwamba Waarabu wanachinjana ?

Mbona hii logic fyongo mnayotumia ?

Nimekufahamu lakini mafundi zaidi wa kuchinjana wako huko huko uliko wewe. Hamna hata raha ya kutembea nyumba kama jela vyuma!! Look at the mirror first!
 
Ooops.....mbona America wana Obama?...hii mambo ya rangirangi sio nzuri kabisa...jumjadili Gaddafi kama Gaddafi na sio umanga wake....huu umanga ndio maana tukaacha kumpanchi mtu makini badala yake tukampa mcheza ngoma...just because sio mmanga

Unaongea nini wewe mbona hueleweki? Obama ni mmarekani na uhusiano wake ni America. Hawa wamanga wa bara la Afrika ni wanachama wa Arab League na uhusiano wao ni wamanga wenzao waliopo Arabuni n.k. Cha kujiuliza hapo AU wamanga wanafata nini? Unaweza kunipa jibu?
 
Hana adabu,hawezi kukaa bustanini then anamtuma msaidizi wake amwite rais wetu!!
 
Hana adabu,hawezi kukaa bustanini then anamtuma msaidizi wake amwite rais wetu!!

Hivi ingekuwaje kama Raisi wetu ndiye angekaa bustanini then akamtuma msaidizi wake amwite huyo Mmanga Gaddafi - huyo msaidizi ndiye angekula kibao au aliyemtuma !!
 
Bado najiuliza, kuchapa mtu kibao kwa kupoteza uelekeo wa mkulu au kumtwanga risasi nne binti mdogo (Trafic) kwa kosa kama hilo kipi ni kipi?
Au Kanali alimwita Luteni Kanali kumwambia adhabu inayostahili kwa kosa kama hilo ni kelbu na sio risasi nne? nahitaji msaada ktk ufahamu wangu mdogo.

olololo, unatafuta kuitwa mchochezi sasa..
 
Kiranga!,Beheading is done by muslims for those who deserve it,not by Arabs.Have you got any evidence of it done in Tripoli?.
You say like a parrot.

You are right it is done in fact in only one Country and a very few and simply because a murderer is not deserving a red carpet! . If that is done in your place then please keep it there. We don't want that in the Arab world.
Those who oppose this yet don't ask themselves how many people have lost their lives innocently in your own place?.
In most Arab places people are very safe can walk freely daily and night. In your places you can be murdered simply because you have a GSM or a few shillings in your pocket , you cannot travel at night! Poor "Zeru zerus" are being killed innocently. Wake up men you dont have even a freedom of travellign freely? What a hell of a place!!
 
Una kiburi wewe mmanga eeh? Kwa nini mnang'ang'ania Afrika kama mnapaona ni hell? Wamanga wamejaa kila kona EA, wanachafua hali ya hewa na kufanya ufisadi. Rudini kwenu ambako ni bora zaidi. Tuacheni hell of a place yetu. Rudini umangani kwenu ambako ni paradise.
 
Wewe unakiburi zaidi na hamna ila ubaguzi wenu wa rangi.Mbona na huku wamejaa watu kama wewe hakuna mtu anawabughi? Si na wewe njoo uwachukue basi!
Huwezi kutukana watu halafu utegemee wakunyamazieni tu!
Jifunze kuheshimu watu na wewe utaheshimiwa! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!
 
Back
Top Bottom