Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Movie yenyewe nasikia haitaoneshwa kwenye majumba ya sinema...itaenda moka kwa moja kwenye dvs
Si unajua tena...wabongo lazima wataongea tu.duh!kudadadeki!bongo wangedai ngoma, aka fagio la chuma, aka umeme!...hahahaha!
jamani senti 50 is starving kabisa!!!!!!!!!!!!teh teh ebana kajamaa kameonekana kama kanatoka south sudan hivi mweeh,hao ndio wanaume wanaojua kuitafuta pesa,sio kina ray na kunumba kila muvi wanataka waonekane kama papaa msofe wakati wanaganga njaa vibaya vibaya badilikeni bana nyie waigizaji vinginevyo mie sitakuja nunua muvi zenu milele.
he he heee,kama kateja fulani hivi kanashindia mihogo na biskuti,yaani hapo ndio unakutana nae hivyo mitaa ya mango garden una nyagi kichwani halafu anakuletea hoya hoya,wala hutasita kuchapa makofi,hata akiku-comvise vp kama yeye senti 50,hutamsikiliza wala nini.jamani senti 50 is starving kabisa!!!!!!!!!!!!