sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Asante J. Lokole nitakuepoView attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Ni wanachama wa chadema?Eti Chadema G-55, ibara ya ngapi ya katiba ya chadema inawatambua;
Unajua mtu anaejinyonga kwa kamba huwa lazima atoe haja kubwa, sasa hao wanaojiita G 55 tayali wamekwisha jijambia wanasubili kinyesi.
Kama mmetumwa kitawalamba na watumaji wataendelea kula bata.
Wewe jobless utapigwa mti mjini tafuta kibarua cha kufanya.Asante J. Lokole nitakuepo
Hawa wahuni wameshikwa pabaya na Lisu.
Mimi nayaona kama mapandikiziNi wanachama wa chadema?
Umehamia Chadema siku hizi Mkuu?Tu nataka demokrasia ndani ya chama chetu, tulipambana na udikteta wa Magufuli, tuko tayari kupambana na udikteta wa Lissu
Lissu atazuiaje uchaguzi?Hawa wahuni wameshikwa pabaya na Lisu.
🤣🤣🤣🤣🤣 wanazidi kupoteza tuView attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Bado wanatapatapa. Ndio imetoka hivyo, biashara wanayotaka kuifanya na CCM haiwezi kufanikiwa.View attachment 3294633
Usikose kutegea sikio press conference ya G55.
Itafanyika leo saa 5 asubuhi.
Demokrasia kwenye chama lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Mtoto mdogo wewe yako nepi, haya mambo Huwezi kuelewaLissu atazuiaje uchaguzi?
Chadema ni chama cha demokrasia, demokrasia itashinda.Mimi nayaona kama mapandikizi
Lissu atazuiaje uchaguzi?
Pambaneni lakini HAMTASHINDA.Tu nataka demokrasia ndani ya chama chetu, tulipambana na udikteta wa Magufuli, tuko tayari kupambana na udikteta wa Lissu
Nani kakwambia ni mapambano? Kudai demokrasia ndani ya Chadema ni mapambano? Uhuru wa kutoa mawazo ni mapambano?Pambaneni lakini HAMTASHINDA.
Hao wanaojiita g55 watashangaa, think twice the number of , Central Committee members, Central Council members and the General meeting members walipitisha agenda hiyo na wapo, what is 55 kwa vikao hivyo vitau vya kikatiba. Kwa chadema hii, wanapoteza muda.Chadema ni chama cha demokrasia, demokrasia itashinda.
Rejea post #4 halafu rudia kusoma nilichoandika.Nani kakwambia ni mapambano? Kudai demokrasia ndani ya Chadema ni mapambano? Uhuru wa kutoa mawazo ni mapambano?