G4s vacancies

G4s vacancies

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
42
Reaction score
11
Habari wana JF,ndugu yenu kesho nimeitwa G4s for an Interview,Hii company sijuhi chochote kuhusu wanavyofanya recruitment zao,Naombeni msaada wenu ndugu zangu.Ajira ni ngumu tupeane maujanja
 
  • Thanks
Reactions: OMJ
Kila la kheri ndugu,ungetuambia lkn na post unayoifukuzia
 
Niliomba any post available,either Assistant Auditor,Accountant/Finance coz nimesoma Baf,so today ndio wameninyanyulia waya,sijuhi kama hawa jamaa wakoje,office zao hata sijuhi ziko wapi?
 
Usiwe na wasiwasi Ndugu, Hiyo kampuni inajihusisha na maswala ya ulinzi, mobile money security . Cha msingi tulia, jiandae na mbinu za kawaida za usaili, usipanie sana, itambue vizuri hiyo kampuni, na ikiwezekana fahamu structure yake-fanya utafiti juu ya G4S.

Kila la kheri ndugu,ungetuambia lkn na post unayoifukuzia
 
Office zpo moroco karbu na erolink ya zaman ya pale moroco kma unarud mwenge unaingia na barabara ya lile kanisa pale unanyoosha thn road ya kwnza inaingia kushoto fwta hyo road utaona tu office zao
 
hawana interview ngumu kabisa ni kawaida tu, ila make sure uko vizuri kwenye computer hasa excel
 
Yeah,ni wakala wa ulinzi. Mishahara yao kwa ulinzi ni midogo sana na ni below 150,000/-. Sijui kwa fani uliyoomba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom