Pass degree mbona inatosha sana. His daily business is not hard science, why first class? Second class?Wakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
Unaamini katika vyeti etie. Utasubiri miaka 800. Mwambie Sendeka alete yake kwanzaWakuu muda si mrefu nilikua nabishana na jamaa wangu flani kuhusu bajeti ya upinzani iliyosomwa leo na Ndugu David Silinde...
sasa huyu jamaa ali crush hiyo hutoba kwa madai aliyeisoma ni ******....huyu jamaa anadai alimaliza pamoja na David Silinde pale UDSM B.Com Human Resource Management na anadai mheshimiwa huyo alipata Gentleman...kusema ukweli nilishindwa kuendelea mabishano naye maana alikua anaamini alichokua anakizungumza...
Wadau wenye kumjua Mheshimiwa David Silinde tunaomba wafunguke na matokeo yake pale Mlimani..ni kweli alipata Gentleman ama ni porojo tu...
UDOM ingelikuwa first class (Hons)gentlemen kwa udsm kajitahid Angekuwa vyuo vingine ni kipanga huyo okay
Pass= gentleman's degree . Shida ya nini? Pata pass nenda TRA piga mpunga basi! Chukua medicine miaka 6, pigwa na wagonjwa, shida ya nini!Kwanza hiyo Gentleman iko TIA au UDSM?
Hizi rank nyingine isije ikawa mnatuletea za kwenye vyuo vyenu vya mifugo huko. Sijui Distinction n.k! Embu nijuze kwenye list hii hyo gentleman iko ktk ya nn ...
First class
Upper second
Lower second
Pass
Pass=GentlemanKwanza hiyo Gentleman iko TIA au UDSM?
Hizi rank nyingine isije ikawa mnatuletea za kwenye vyuo vyenu vya mifugo huko. Sijui Distinction n.k! Embu nijuze kwenye list hii hyo gentleman iko ktk ya nn ...
First class
Upper second
Lower second
Pass
Utasababisha atajwe mwenyekitiUnaamini katika vyeti etie. Utasubiri miaka 800. Mwambie Sendeka alete yake kwanza
Vidoti ni vya Maxenzo kaficha neno hapo liweke kichwaniVidoti ni vyako au ni vya Maxenzo????
haooo wanaomdis hawaijui UDSM kuwa ni tofauti na vyuo vingine .Kwanza hiyo Gentleman iko TIA au UDSM?
Hizi rank nyingine isije ikawa mnatuletea za kwenye vyuo vyenu vya mifugo huko. Sijui Distinction n.k! Embu nijuze kwenye list hii hyo gentleman iko ktk ya nn ...
First class
Upper second
Lower second
Pass
Low G.P.A=Low IQGPA? Kwani GPA ina application gani katika maisha?
Mleta mada inawezekana yuko shule jamani mwachine au ndo amemaliza Chuo.Je, ukiijua hiyo G.P.A itakuwa na manufaa yepi kwako binafsi?
Mbona ume panick mkuu...Tehe TeheEndelea kuulizia GPA za watu.