g g z 4 ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

g g z 4 !

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief-Mkwawa, Dec 16, 2011.

 1. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,791
  Likes Received: 7,115
  Trophy Points: 280
  yeeeeah huu ndo ukweli kolibri operating system ina mb 1.4 tu na inaweza hata kuingia kwenye flopy ya babu yako hehehe.....
  Imetengenezwa na menuet os na zipo version 2 kama hujui moja ina 1.4mb na nyengine 3.3mb
  unaweza ukaiboot kwa flash, cd, dvd hata floop disk

  Haina graphics nzuri kama zilivo window au mac but amini usiamini inasupport mambo mengi kama http client kusurf net, text editor, email client
  inarun mafile ya ntfs halafu haina makuu inataka RAM YA MB 8 TU

  Halafu usiidharau ina magame kama kumi hivi halafu tetris limo utaipenda hebu idownload hapa chini

  http://kolibrios.org/f/releases/kolibri_0.7.7.0_iso_en.7z
  Ukishadownload extract burn kwenye cd lipo katika format ya iso

  Kwa video tutorial angalia hapa
  http://www.youtube.com/watch?v=QmG5ijhTl7s&feature=player_embedde
   
 2. deojames

  deojames JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  interesting
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  amazing!!, lazima niijaribu!
   
Loading...