Tatizo la G-55 ni uchumi wao sio kutukanwa wala kunyanyashwa. Mbona hayo matusi hatujayaona ??. No reform no election
- Wake wa viongozi wawili ni Covid 19. Tujiulize tu je nani ali sign kwa niaba ya Mnyika kuweka wake zao bungeni?
- Walikuwa wanaibia na kufanya ubabe wa kuwaweka wawapendao kwenye changuzi 2024
- Sasa ni reform no election wanajiuliza watakula wapi maana wake zao sasa watapata ubunge wapi? wenyewe nao sasa hawana mishahara.
- Wanasema hawajui wanaenda wapi kwasababu wanasubiri kuhakikishiwa mambo fulani ili wapate pesa!