Hiyo picha ina uhusiano gani na mada uliyotoa?
Atajuta sanaaa baada ya kujua baadhi ya mamboKaribu JF kijana..utazoea tu..iko siku utajutia hiki ulichofanya..
Mkuu kumbe huku unafikaga?Aiseh!
hahahah ATAPATA MAJUTO BILA MJUKUUKaribu JF kijana..utazoea tu..iko siku utajutia hiki ulichofanya..
Mkuu kumbe huku unafikaga?
Basi ni jambo la kheriNdio mkuu
Itibidi atengeneza nyinginehahahah ATAPATA MAJUTO BILA MJUKUU
Chunguza kabla ya kuvamia mzee baba
Mkuu ni kweli,ukiwa mgeni kuna vitu unakuwa haujavielewa bado.Atajuta sanaaa baada ya kujua baadhi ya mambo
Weka na nyingine ukiwa umevaa T-shirt