Suala sio wanachama wa vyama vya siasa, hiyo ni idadi ndogo sana ya Watanzania watakaopiga kura October, UKAWA waandae rasilimali za kutosha kufikia kila kijiji Tanzania kuwaeleza kwa ufasaha nini wanataka kuwafanyia na nini CCM wameshindwa bila kumshambulia mtu utatokea mtikisiko ambao hamtaamini. Hapa watu wanachanganyikiwa Lowassa mwenyewe hajaongea,akiongea Magufuli atapotea kabisa. Upepo wake hata ivyo umepungua kwa Magufuli simsikii.