Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

Future ya CCM baada ya Lowassa kung'oka

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,213
Reaction score
9,334
Wakuu,

Ni dhahiri kabisa future ya CCM ndio imefika ukingoni baada ya Lowassa kung'oka CCM, pia kama tunavyojua kundi la wafuasi wake kumfuata.

Hapa tujikumbushe nyuma kidogo, baada ya Lowassa kukatwa jina ndio makundi makubwa ya wanachama wa CCM walipopinga kukatwa kwake huku wakiimba nyimbo mbalimbali za kumnadi Lowassa.

Sasa Lowassa amehama CCM na washirika wake ambao ndio wengi zaidi kuliko mwanaCCM yeyote kuamua kumfuata UKAWA.

Je, CCM itaweza kuendelea bila kundi hili kubwa kabisa kuwepo? Je, watakaobaki CCM watakuwa na mvuto katika jamii?

My take:
UKAWA isije kugeuka up coming CCM baada ya wanaCCM wengi kuomba kujiunga UKAWA.
 
Kazi ipo kiukweli hata wakijitokeza ktk vyombo vya habari kusema hawajali kuhama kwa EL lakini deep inside litawanyima usingizi!
 
Ha ha pro chadema njoon mmnadi kamanda lowasa
 
Unaota ndoto za mchana, CCM chama dola, Lowassa wenu mtaumbuka tu.
 
CCM chaliiii

1438060705175.jpg
 
Kilichofanywa na ccm ni kuonesha kuwa chama hicho ni makini kinaangalia maslah ya wengi kuliko mtu. Kwa upande wa chadema hakuna hiki kitu ndio maana mbowe anafanya mambo anavyotaka. Uamuzi wa Mbowe kumruhusu EL kujiunga Chadema ni uamuzi wa Mbowe na sio Wanachadema.

Ila kwa kuwa Chadema inaendeshwa kisultani, Wanachadema wameaminishwa uongo kuwa ukweli. Na hapa ndipo tunakosa kuleta mabadiliko kwa sababu ya uzembe wa viongozi wa upinzani.
 
Back
Top Bottom