Latest news niliyonayo ni kwamba wanafunzi wengi wa kirusi (Russian students in Ukraine) wameshauriwa waamie kwenye vyuo vilivyoko Crimea kwani wizara yao ya elimu ya juu imebadilisha syllabus ili zi correspond na zile za universities zingine za Russia. Iwapo wanataka kuhama na kusoma urusi, wengi itabidi warudie mwaka na kufanya baadhi ya mitihani within first semester of 14/15 academical year. Kwa watu wa MD nafikiri hali ni mbaya zaidi. Vyuo vingi havitawachukua. So, since mwaka wa masomo karibu unaanza, jitihada nyingi ZIFANYIKE SASA kushirikiana na Ubalozi, Sponsors na kampuni waletao wanafunzi kama RACUS nk. Very soon itakuwa late.
Nagawa kama nilivyoyapata.