Futari ya Mwarabu...

Hahahahah lol! Ahsante sana Boflo nimecheka ile mbaya...Jamaa hakujua uwezo wa tumbo lake!? Alikuwa anafakamia tu lol! πŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah lol! Ahsante sana Boflo nimecheka ile mbaya...Jamaa hakujua uwezo wa tumbo lake!? Alikuwa anafakamia tu lol! πŸ™‚
Waarabu wanapenda sana pilau na nyama ya mbuzi....
 
Reactions: BAK
We Boflo mwenzio Mbuzi Mzee kawaomba watu radhi asubuhi sababu ya hii picha wewe unairudisha tena hapa. Shauri yako wakikudaka usiniite kukutetea maana najua huwezi ngumi.
 
Last edited by a moderator:
Hiii nafikiri sio futari ni chakula cha Eid yenyewe!!maana futari shurti iwe laini...hapo utaumiza tumbo na mapilau hayo...napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…