sharifu majiniNi yule Sheikh anaefukuza majini, anajitangaza sana insta, jina nimelisahau.
kama yule nabii wa wagalatia anae fukuza mapepo anajitangazasana na tv yake.!Ni yule Sheikh anaefukuza majini, anajitangaza sana insta, jina nimelisahau.
Duuuh...! Quran yenyewe inakataa Yesu hakusulubiwa, sasa unavaaje !??hivi kweli waislam wanaweza vaa msalaba shingoni kama sie tunaovaa kofia zao