Safety last JF-Expert Member Mar 24, 2011 4,227 1,389 May 5, 2011 #21 Maundumula said: Picha ipo wapi? Ndio hayo magari machakavu mlionunua kwa Mbowe na pesa za walipa kodi? Ndugu zangu Chadema plz practice what you preach, kama mnataka mjiepushe na ufisadi mfuate kanuni za manunuzi zipo wazi! Click to expand... una emotional disturbance na utasumbuka sana.una ugonjwa wa kuiona na kusikia chadema tulia tutakuzika.
Maundumula said: Picha ipo wapi? Ndio hayo magari machakavu mlionunua kwa Mbowe na pesa za walipa kodi? Ndugu zangu Chadema plz practice what you preach, kama mnataka mjiepushe na ufisadi mfuate kanuni za manunuzi zipo wazi! Click to expand... una emotional disturbance na utasumbuka sana.una ugonjwa wa kuiona na kusikia chadema tulia tutakuzika.
sbilingi Senior Member Nov 16, 2010 144 2 May 5, 2011 #22 hoyce said: Hiyo ni sheria ya manunuzi ya umma.chama hakilazimiki kuifuata Click to expand... wehu wako wengi, ila haukatazwi kuopt au?
hoyce said: Hiyo ni sheria ya manunuzi ya umma.chama hakilazimiki kuifuata Click to expand... wehu wako wengi, ila haukatazwi kuopt au?
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 May 5, 2011 #24 Giddy Mangi said: Je nini impact ya watu wa Mbeya kesho asubuhi watakapokutana na Fuso tatu branded CDM,bendera na pia Music system na nyimbo za Ukombozi? Click to expand... Tusiandikie mate lakini natumaini kesho tutapa matukio mengi hapa hapa JF, cha msingi tu tuache ushabiki ili akili zetu zitusaidie kidogo kuona mbali.
Giddy Mangi said: Je nini impact ya watu wa Mbeya kesho asubuhi watakapokutana na Fuso tatu branded CDM,bendera na pia Music system na nyimbo za Ukombozi? Click to expand... Tusiandikie mate lakini natumaini kesho tutapa matukio mengi hapa hapa JF, cha msingi tu tuache ushabiki ili akili zetu zitusaidie kidogo kuona mbali.
G Giddy Mangi JF-Expert Member Feb 14, 2011 830 184 May 5, 2011 Thread starter #25 Fuso za Chadema Morogoro kwa safari ya Mbeya ulinzi wa uhakika toka kwa wananchi
M mzambia JF-Expert Member Dec 31, 2010 885 60 May 5, 2011 #26 Safi cdm nendeni mpeleke pipos power mby