Fuso Tiper 4 tons Inahitajika Haraka.

Fuso Tiper 4 tons Inahitajika Haraka.

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wakuu,

Kuna jamaa yangu yupo Mwanza anahitaji Fuso Tiper ya tani nne (4) ana haraka.

Kama ipo Dar ni PM namba yako nije niicheki tuelewane.

Fuso iwe mpya, au kama imetumika iwe katika hali nzuri. Chassis iwe bado intact.

Shukrani.

UPDATE:
Hii gari ilishapatikana.

Thanks,
 
Mkuu mbona Dar kwenye yadi fuso ziko nyingi tu, au wewe unataka aliyo nayo mtu tu?
 
Mkuu mbona Dar kwenye yadi fuso ziko nyingi tu, au wewe unataka aliyo nayo mtu tu?

Mkuu, nitaenda kucheki Yard baadae. Lakini pia kama mtu anayo mkononi katika hali nzuri ingefaa sana.
 
Wakuu,

Hii kitu ilishapatikana kwa 45Mil.

Thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom