Fuso linauzwa

Fuso linauzwa

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Posts
5,372
Reaction score
5,124
Habari wana-Jf

Kuna Fuso linauzwa, liko Dsm, limesajiriwa tayari na liko tayari kwa Kazi.

Ni V8,
Tipa,
Tani 18.

Linauzwa Tsh 45.0M

Kwa maelezo au ukitaka kuliona piga simu 0754265045.
 
Ina number gani? By ze way hamna v8 ikawa ni 18 ton! Kwa knowledge yangu ni 8 to 9 tons, !
 
Mkopo vip?nifanyie kazi nikuludishie kila mwezi
 
Back
Top Bottom