Fursa

Mmmh espy upo serious?? Unajua tshirt 3000 ni nyingi sana
 
Ninahitaji t.shirt 3000 cotton na huduma ya kuziprint, hivyo mnaohusika na huduma za aina hii naomba tuwasiliane pm.

Updates:
Nashukuru nishapata.
Yaani umeninyima hivihivi
 
kwani mpaka sasa unahitaji hizo tshert3000 au inakuwaje
 
Ungejibu hata pm kama umepata ungekuwa mstaarabu zaidi ya kupotezea mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…