Hebu elezea kidogo,ilikuaje mkuu?Hawa majamaa ni matapeli ile mbaya. Fadhili Ngajilo ndio mratibu wa hii kitu. Ni matapeli sana. Nilianza now ila mwishoni nilishika kichwa
Hawa majamaa ni matapeli ile mbaya. Fadhili Ngajilo ndio mratibu wa hii kitu. Ni matapeli sana. Nilianza now ila mwishoni nilishika kichwa
Angalia vzr ndugu (zoom)muhuri upo.also unaweza ingia Google such helping hands international utajifunza mengi afu utanishirikisha utakapi kwama nikuelekeze zaidimbona certificate haina mhuri halali?