Fursa za kibiashara zipatikanazo Comoro


currency rate vs US Dola ipoje
 
Mtakuja waua na pressure wenzenu kwa hasara comoro yote ina wakaazi 800,000, wakati kinondoni pekee ina wakazi 1.7 milion .sasa ubebe loli la hiliki akalitumie nani ? eti papai moja ni 7,000 ,sio kweli?
 
Mtakuja waua na pressure wenzenu kwa hasara comoro yote ina wakaazi 800,000, wakati kinondoni pekee ina wakazi 1.7 milion .sasa ubebe loli la hiliki akalitumie nani ? eti papai moja ni 7,000 ,sio kweli?
Mkuu umezungumza jambo la maana mno. Ya nn kujitia gharama za kusafirisha bidhaa mpaka Comoro wakat hapa hapa bongo soko bado lipo?
 
Habari wana Jf,
Ni mda sasa tangu vyuma vikaze katika ardhi yetu tukufu hali iliopelekea watu wengi kutupia macho upande wa pili yaani ujasiliamani wakibiashara nje ya tz,

Bila shaka kunawazoefu humu wanaofanyia biashara zao katika visiwa hasa vya Comoros bila kupoteza mda niwaombe tukutane hapa kushare uzoefu nakuelezana shangamoto za kule na pia ni bidhaa gani hasa zina demand kubwa kwa kule,

Na pia kwa tunaotaka kuanza biashara iyo ni vitu gani hasa vyakuzingatia?

#Naomba kuwasilisha.

#Nawakaribisha sana.
 
Mkuu,hii comment yako ungeifungulia uzi ingependeza zaid
 
Unatafuta partner kutoka nje ya nchi? au unataka kuuza huduma/bidhaa zako ndani na nje ya nchi?
Basi, kutana na viongozi wa biashara wanaonadi biashara zao kupitia mtandao wa lenkeer.com.
Jiunge Bure sasa hii na upate nafasi ya kushida account VIP bure yenye thamani ya $200!
JIUNGE SASA NA USHINDE. https://www.lenkeer.com/register
 
Kama mtu anagari kwa anzia tan 20,30 nakuendea na Hana kazi ya uhakika anitafute nimpe mchongo wa pesa ndeefu.....tupige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…