Mara kadhaa nimekuwa nikisikia sikia kuwa Comoro kuna fursa nyingi za kibiashara lakini sijafahamu hasa ni fursa zipi zilizopo. Kwa wale watafutaji wanaozunguka sehemu mbalimbali, ningependa kufahamu fursa za kibiashara zilizopo Comoro.
Kutwa tunalalama eti vyuma vimekaza, lakini hatutaki kujiongeza kwa kutafuta fursa nje ya nchi.
Kuna watu wanajua fursa nyingi tu ila hatuwatumii ipasavyo ili watupe mwongozo
Hivi hua kuna umbali gani kutoka hapa kwetu?ila mtu mmoja afisa mifugo aliwahi kuniambia kua mbuzi wa kule ni dili sana.ni wakubwa na wanauzwa kwa mpunga mrefu
Hivi hua kuna umbali gani kutoka hapa kwetu?ila mtu mmoja afisa mifugo aliwahi kuniambia kua mbuzi wa kule ni dili sana.ni wakubwa na wanauzwa kwa mpunga mrefu