Habari wapendwa ni matumaini mko wazima wa afya.
Napenda kuwashirikisha fursa ya kuwekeza ndani ya Jiji LA Dodoma. Ni hivi anatafutwa muwekezaji wa kuingia nae mkataba ajenge Jengo la ghorofa maeneo ya mjini kabisa ya Jiji LA Dodoma (Uhindini). Eneo ni strategic kwa biashara hivyo mwenye kiwanja anahitaji mkataba na mwekezaji na watakubaliana.
Fursa ya Pili ni eneo linauzwa eneo LA Airport jijini Dodoma linajengo la zamani na ni mahali panafaa kujenga lodge au ghorofa kwa kuweka apartments au business centre maana lipo barabarani kabisa.
Kama umaweza kuwekeza katika real estate karibu. Karibuni kwa PM tuyajenge.