Fursa ya usafiri kwenda mjini

Bodabodafasta

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
372
Reaction score
372
Kama kijana nimemAliza chuo nimeamua kujiajiri Kwenye kazi ya udereva.


Ninatafuta mdhamini ambaye ataninunulia tvs 125cc pikipiki mpya
Kwa masharti ya yeye kupata oya kupelekwa mjini bure kila siku asubuhi Huku nikiendelea kumlipa kila siku kwa mkataba mpka namaliza Malipo yote..
.

Ninadhaminika kwani nina Mali zinazoweza kutumika kama dhamana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…