Fursa ya kutengeneza pesa na kampuni ya solar/umeme jua

Fursa ya kutengeneza pesa na kampuni ya solar/umeme jua

Cyrustj

Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
44
Reaction score
66
NAFASI ZA KAZI / FURSA YA KUTENGENEZA PESA NA KAMPUNI YA SOLAR/UMEME JUA.

Ninayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, Hii fursa ni kwa wale wenye uzoefu kwenye Mauzo ya solar / Umeme jua.
Kipaumbele watapewa wale waliowahi kufanya kazi na M-Kopa, Zola,Mobisol, Azuri,Solaris,Jumeme, Simu Solar na zingine nyingi.
Pia kwa wale ambao hawana uzoefu na wanaweza kujituma ipasavyo wanakaribishwa.
Elimu: Kidato cha nne na kuendelea.
Aina ya Kazi: Afisa Afisa Mauzo (Sales and Marketing)

Idadi ya watu: (10)

Eneo la kazi:
Kanda ya ziwa (Mwanza, Geita, Mara, Shinyanga, Kagera, Simiyu. Pia tunapanuka karibu kila kukicha katika mikoa ya Tanzania Bara na visiwani.

Malipo: Ya kuridhisha

Jinsi ya kutuma Maombi:
1.Nitumie –e-mail kwa kupitia cyrusomolo@gmail.com

2. Nitafute kupitia WhatsApp kwenye namba +255 768684790

3.Nipigie simu kupitia namba +255 787899196 / +255 768684790

Wahi sasa nafasi ni chache (First come, first served)

Cyrus T.J Okolah Omolo| cyrusomolo@gmail.com |+255768684790 | +255787899196 | +255622684790 | Skype: cyrus_international
 
Mnafanya System Gani Solar home systems au Hybrid Systems? Mimi ni Technician na nipo katika industry ya Solar kwa miezi almost 7 tangu nimalize Chuo nina Diploma ya Electrical Engineering kama unauhitaji wa Technician Niambie mkuu ila pia naweza kufanya sales partially ila role yangu kubwa iwe Technician.
 
NAFASI ZA KAZI / FURSA YA KUTENGENEZA PESA NA KAMPUNI YA SOLAR/UMEME JUA.



Ninayo fursa ya kutangaza nafasi ya kazi, Hii fursa ni kwa wale wenye uzoefu kwenye Mauzo ya solar / Umeme jua.


Kipaumbele watapewa MABINTI/WASICHANA/WANAWAKE waliowahi kufanya kazi na M-Kopa, Zola,Mobisol, Azuri,Solaris,Jumeme, Simu Solar ,Sun King na zingine nyingi.


Pia kwa wale ambao hawana uzoefu na wanaweza kujituma ipasavyo wanakaribishwa.


Elimu: Kidato ch nne na kuendelea.


Aina ya Kazi: Afisa Mauzo (Sales and Marketing)



Idadi Ya watu: (10)


Eneo la Kazi: Kanda ya ziwa (Mwanza,Geita,Mara,Shinyanga,Kagera,Simiyu. ,PIA tunapanuka karibu kila kukicha katika mikoa ya Tanzania Bara na visiwani.


Malipo:ya kuridhisha:


Mafunzo:Tutakufundisha kabla ya kazi.



Jinsi ya kutuma Maombia: 1. Nitumie –e-mail kwa kupitia cyrusomolo@gmail.com

2. Nitafute kupitia WhtasAp kwenye namba +255 768684790

3.Nipigie simu kupitia namba +255 787899196 / +255 768684790



Wahi sasa nafasi ni chache (First come First serve)





Cyrus T.J Okolah Omolo| cyrusomolo@gmail.com |+255768684790 | +255787899196 | +255 620746801 | +255622684790 | Skype: cyrus_international
 
Back
Top Bottom