Fursa ya Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu

ribussama

Member
Joined
Dec 11, 2016
Posts
94
Reaction score
42
Tangazo.

Fursa kwa vijana waliopata pass chache za kidato cha nne yaani kuanzia D moja na kuendelea . kuna Program imeandaliwa kwa miaka miwili inayoitwa Business Operation Assistant. Mwanafunzi akijiunga na hii program anaweza kupata faida zifuatazo:

1. Kupata fursa ya kujiunga na Diploma moja kwa moja kwenye fani aitakayo mara baada ya kumaliza.
2. Kurudi kwenye mfumo rasmi wa elimu ya Tanzania
3. Kupata professional skills na cheti kwenye areas kama Accounts,Procurement, Marketing, Stores, Logistics mgt, nk.

Wahi sasa kwa maelezo zaidi wasiliana na namba hii. 0718476238 au 0742934704. Course inatolewa na Institute of Procurement and supply IPS- chanika
 
Akishamaliza Dip ndio tatizo kuingia Degree ila hongera mkuu ni kitu kizuri sana
 
Nashukuru Mediocrist kwa mchango wako. Kuhusu swala la kuingiza degree linawezekana. Ukiingia kwenye admission system ya Nacte au TCU kuna sifa za kujiunga na Degree. Kwa mfano kwa wahitimu wa Diploma wanatakiwa kuwa na Diploma pamoja na kidato cha nne wawe na ufaulu wa pass kuanzia nne na kuendelea lakini kama amemaliza hiyo program anaweza kuitumia kama equivalent qualification kuingia Degree
 
Samahani hapo unaweza nipatia guide book mkuu ya kipande hiko niongeze uelewa wangu maana nilikuwa nafahamu bila D nne degree hugusi.ahsanteh
 
Ahsante Mediocrist kwa kutaka kujifunza zaidi. Fungua hiyo image kwenye kipengele number 5 kinaonyesha. Pia kwa sisi ambao tupo chuoni kama admission officer tunaona vizuri zaidi jinsi gani tunawasajiri wanafunzi kwenye Institution Panel ya NACTE kuna option ya VETA kama mtu O level hana 4 passes.
Screenshot_20171005-183522.png
 
Unaipataje mkuu na je waweza soma huku unatafta nia mbili mtaani?
Unaweza kupiga kwenye hii number kwa maelekezo ya jinsi kupata 0718476238.
Au nitumie number yako nikupigie. Karibu sana
 
akikujibu nitag pls
Ahsante Mediocrist kwa kutaka kujifunza zaidi. Fungua hiyo image kwenye kipengele number 5 kinaonyesha. Pia kwa sisi ambao tupo chuoni kama admission officer tunaona vizuri zaidi jinsi gani tunawasajiri wanafunzi kwenye Institution Panel ya NACTE kuna option ya VETA kama mtu O level hana 4 passes.
 
Attachments

  • Screenshot_20171005-183522.png
    Screenshot_20171005-183522.png
    36.6 KB · Views: 59
Ubarikiwe mkuu kwa tangazo lako hili, limekuja wakati muafaka, wakati wa tumbua tumbua.
 
Ahsante Mediocrist kwa kutaka kujifunza zaidi. Fungua hiyo image kwenye kipengele number 5 kinaonyesha. Pia kwa sisi ambao tupo chuoni kama admission officer tunaona vizuri zaidi jinsi gani tunawasajiri wanafunzi kwenye Institution Panel ya NACTE kuna option ya VETA kama mtu O level hana 4 passes. View attachment 602709
AKILI TATU
 
Bravo Mheshimiwa
 
Ahsante Mediocrist kwa kutaka kujifunza zaidi. Fungua hiyo image kwenye kipengele number 5 kinaonyesha. Pia kwa sisi ambao tupo chuoni kama admission officer tunaona vizuri zaidi jinsi gani tunawasajiri wanafunzi kwenye Institution Panel ya NACTE kuna option ya VETA kama mtu O level hana 4 passes.

Niliwahi kuiona kipindi nafanya application kumbe ndo hii sasa nimejifunza kitu kw sasa shukrani
 
Karibu sana. Watu wengi hawafahamu badala yake mtu anakwenda kurudia mitihani ya kidato cha NNE bila mafanikio. Sasa hii program ni nzuri kwasababu wakati unapata qualification ya kwenda mbele pia unapata ujuzi wa kuweza kuajiriwa na kufanya kazi
 
Back
Top Bottom