Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
Siti ya kwanza hapa na mm ningoje utaratibu.
Mbal na details za mambo ya leaen hukufanikiwa kupata nyepes zingine about the same???
Okay.uunge tela how?na kwann uhofie na mchongo uko live mamaa?Mtaji wamegoma kusema hasa ni sh ngap..ila wameniambia niunge tela..mie hapana..siwez..ntachanika msamba
Okay.uunge tela how?na kwann uhofie na mchongo uko live mamaa?
Na ishu yabmtaji ungeweza kudadavua kwa njia m badala.like mzigo kiasi gan wanapeleka..kama ni scania kadhaa au otherwise.Then we una calculate roughlyMtaji wamegoma kusema hasa ni sh ngap..ila wameniambia niunge tela..mie hapana..siwez..ntachanika msamba
Na ishu yabmtaji ungeweza kudadavua kwa njia m badala like mzigo kiasi gan wanapeleka..kama ni scania kadhaa au otherwise.Then we una calculate roughly
Tupo hapa wadau.Na wengine wanakufuatilia uteme details hapa maana it is interestingnikikueleza nna mishe ngap🤔🙌🙌🙌..hapana..sitaweza..ila km atapatikana mtu/watu serious nitamconnect naye
Ha ha haa leo ndio unaamka!!?Habari ndugu wanajamii forum!
Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka☺
Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...
nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..
Jamani kuna watu wanapiga helaaaa🤔🤔..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee💃💃💃💃! wenye mitaji "yenyu"
Kocha Mkuu
@BILGER
Tupo hapa wadau.Na wengine wanakufuatilia uteme details hapa maana it is interesting
Ha ha haa leo ndio unaamka!!?
ongeza sifuri hapo....
mchele unauzwa kwa waharabu...
the only place you can fetch a good price
lakini lazima uwe na export license
na mtaji wa kusafirisha tones kwenye meli
amkeni mtaelewa tu...
Na sio mchele tu hata ngozi ya ng'ombe...
soko lake lipo naigeria ni biashara kubwa sana..mbali na matumuzi mengine wenzetu wanigeria ngozi wanakula ni chakula....
lkn mavijana ya humu ukiyapa peyable business deal at a point of time...wanakuona ng'ombe tu.... ndio maana huwa naachana nao.....ukiendesha range wanakuona mchawi wakati ni vitu vya kawaida....!!?
DaahHabari ndugu wanajamii forum!
Wakati Tunaposubiri Ccm watoke madarakani 2020 jaribu pia kuendelea kutafta fursa hapa na pale kabla hakijanuka
Nimekutana na vijana wadogo kbs wameona fursa ya kupeleka mchele Rwanda...
nimejaribu kuongea nao wanadai lazima uwe na leseni ya Afrika mashariki..wajuvi wa mambo mngesaidia sana kuelezea hii leseni inapatikana vipi..
Jamani kuna watu wanapiga helaaaa..nimechoka mimi..nimechoka sana...!
Umewahi sikia kuna vijana wanacheza michezo ya 5,000,000/= per month?
Shimeee! wenye mitaji "yenyu"
Kocha Mkuu
@BILGER
Vijana nendeni taratibu na hii "dili" ya mchele msije mkaumia mbeleni.
Sio utapeli...Unahis utapeli eh?..mie nimetoa tu idea...! asante kwa kutupa hadhari
Vijana nendeni taratibu na hii "dili" ya mchele msije mkaumia mbeleni.
Si utapeli .biashara zina changamoto.kuna jamaa yangu alipata idea ya matikiti maji akaanza kulima alichokutana nacho mungu anajua.utafiti wa kutosha ni muhimu kabla hujaweka fedha zako.mpenziUnahis utapeli eh?..mie nimetoa tu idea...! asante kwa kutupa hadhari