Fursa ya kibiashara

Katika maisha jueni hakuna pesa ya shorticut,ukiona pesa ya namna hiyo jiulize mara mbili mbili,ni UTAPELI,au utaishia kwenda kufanya biashara ya NETWORK MARKET,utakua unapewa dawa na chupa za chai ukauze eti fursa,ukiona matangazo yao utafurahi kweli utasema ajira si ndio hii,nenda sasa utaona matokeo yake,lakini kuna ma nyumbu bado yatamfuata Pm huyu jamaa,wajinga hawaishi,unajua kuna watu mpaka leo wakikutana na zile sms za "ile pesa tuma kwenye namba hii" utakuta nao kweli wanatuma,Note: kwa hali ya sasa ukisikia hili neno "FURSA" jua wewe ulieitwa ndio FURSA kwa waliokuita,kuweni makini mazee!
 
Hakuna bidhaa tunayompa mtu akatembeze huo ni mtazamo wako na invyoonekana ulishawahi jiunga na eternal au alliance ukaliwa hatubebeshi mtu bidhaa ni smartphone na mb zako kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…