Unafuga au unakusanya kwa wafugaji then unafanya Perking?Mm Nipo Bagamoyo, Nimeanza Biashara Hii Na Sijapata Changamoto Ya Soko
Unaweza kunisaidia ni Vijiji Gani yanapatikana kwa wingiNdio maana nikaiita fursa,
Huko vijijini kwa wafugaji maziwa ni mengi na bei yake ni ya chini sana.
Ni rahisi bt inakutaka maandalizi,Unaweza kunisaidia ni Vijiji Gani yanapatikana kwa wingi
Nakushukuru sana kwa maelezo yako Mazuri kuna kipindi nilitaka kufanya hii kitu sema kuna changamoto flan ilijitokeza Tukakwama...lkn mpaka sasa bado ninahilo wazo nakusanya nguvu tu.Ni rahisi bt inakutaka maandalizi,
Coast zone yote anza ruvu njoo chalinze nenda na njia ya tanga au njia ya moro huko vijiji vyote maziwa kwa wanunuzi wanaochukua kwa wingi bei ni ya chini mno,
Changamoto ni lazima uwe na kituo kwani sio rahisi kwa wewe mwenyewe kukusanya vijijini,wafugaji wanaishi vichakani na wapo mbalimbali,wapo wachuuz wanaleta kwenye vituo ambapo kunakua na ma tank makubwa yenye mfumo wakupooza waziwa yasiharibike
Mkuu vip hii mishe bado unaiendeleza? Maana na ujuzi wakutengeneza bidhaa za maziwa kama mtindi plain na za flavour nipo bunju dsm kama vip tunaeza fanya iyo project yakusindika maziwa maana hapa dsm uhitaji ni mkubwa wa mtindiNaomba ku share nanyi kuhusu fursa hii ya biashara ya maziwa nchini.
Kwa tathimini ndogo ambayo nimeifanya mimi mwenyewe hasa kwa kanda ya pwani kama mkoa wa pwani na morogoro nimegundua maziwa ni mengi kiasi cha kuizidi demand.
Naamini pia kutokana na mkoa wa tanga kushabiliana kwa hali ya hewa na mikoa tajwa hata huko nako hali itakua hivyo.
Wafugaji wanapata shida sana kwenye masoko ya maziwa na kutokana na hili inapelekea wanunuzi wakubwa wa maziwa huchukua maziwa ya wafugaji kwa mali kauli na kuwalipa baada yakuuza maziwa.
Kimsingi biashara hii haihitaji mtaji kikubwa zaidi ya vifaaa tu.
Lakini pia maziwa haya kwa kipindi cha mvua za masika wakati ambapo malisho yanakua yakutosha maziwa yanakua mengi zaidi kiasi ambacho lita moja ya maziwa inauzwa kwa shilingi 500.
Kwa anaefahamu soko la maziwa likoje anaweza tuka share mawazo humu pamoja.
Lakini pia namna bora ni kusindika kwani risk kubwa kwenye biashara hii ni maziwa kuharubika jambo ambalo limekua likisababisha hasara kwa wakulima.
Hapa namaanisha maziwa yanapochukuliwa kwa wakulima na kwa bahati mbaya yakaharibika yakiwa mikoni kwa mfanya biashara,hasara inabaki kwa mkulima na si kwa mfanya biashara.
Kwa mwenye ulewa zaidi anakaribishwa
Naamini hukunielewa mkuu,Mkuu vip hii mishe bado unaiendeleza? Maana na ujuzi wakutengeneza bidhaa za maziwa kama mtindi plain na za flavour nipo bunju dsm kama vip tunaeza fanya iyo project yakusindika maziwa maana hapa dsm uhitaji ni mkubwa wa mtindi