Inategemea na aina ya hiyo hiace kama ni toyota itafaa kupiga kirando mpanda au namanyere mpanda return itakulipa sana ila kama ni nissan itafaa kwa njia za swan ga kwenda vijijini ambapo nauli huanzia 25 00/= mpaka 7000
barabara ya Kigoma Swanga sio mbaya mkuuUbovu wa barabara ndio unachangia kukosekana kwa usafiri mkuu ,hizo opportunity matajiri wanaziona sanaView attachment 1431011View attachment 1431013
Mfano hizo si zinaivia njiani
It is never to late to begin. Start now
Barabara aiseee ... Tata kutoka mwanza mpk sumbawanga itafika kwel..????
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hiace superoof na ipo na caria .inategemea na aina ya hiyo hiace kama ni toyota itafaa kupiga kirando mpanda au namanyere mpanda return itakulipa sana ila kama ni nissan itafaa kwa njia za swan ga kwenda vijijini ambapo nauli huanzia 25 00/= mpaka 7000
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa ya biashara kwa mtu anayemiliki basi kubwa au Tata,kuna njia ambazo zinauhitaji wa magari ya abiria kama sumbawanga_kigoma(500km),mwanza_tabora_sumbawanga(953km) na tabora_mpanda_sumbawanga(596Km) Njia hizi zina barabara mchanganyiko lami na vumbi na kwa asilimia kubwa zipo kwenye matengenezo abiria kwa ukanda huu ni wengi lakini changamoto kubwa ni usafiri mfano swanga_mwanza hakuna gari la moja kwa moja hapo ni safari ya kuunga unga mpaka ukafike mwanza au tabora vivyo hivyo kutoka kigoma kwenda swanga kuna kampuni moja tu ya usafirishaji ambayo nayo huduma zake zinasua sua sababu ya ubovu wa magari.
Kwa atakae kuwa tayari kwa biashara hii tuwasiliane kupitia 0765062114/whatsap 0759399805 kwa maelezo zaidi juu ya nauli pamoja na hesabu nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo njia zinataka Mabasi yenye Body za kuchonga na sio hizi mayai,
Ndo maana wakina Coast line wanaziwezea au wakina Saratoga au Adventure na wengineo.ukiona hakuna mabasi mengi huko si kwamba Matajiri hawazijui no bali walisha calculate, hakuna njia wasio ijua
Sent using Jamii Forums mobile app
Itachoka kabla ya muda wake na itakufa bila hata kukuletea faidaBarabara aiseee ... Tata kutoka mwanza mpk sumbawanga itafika kwel..????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpanda_kirando ni 130 km barabara imechanganyika vumbi na lami,kutoka kirando mpaka namanyere ni vumbi kama km 30 na kutoka namanyere mpaka kwenye hifadh ya katavi ni lami ila mle ndani ya hifadhi ni vumbi napo,hiyo njia bado haina gari ya moja kwa moja nauli ni 14000/=Ni hiace superoof na ipo na caria .
Vipi barabara ni lami ?
Ni km ngapi kutoka kirando-mpanda-namanyer??
Sent using Jamii Forums mobile app