Fursa ya biashara kampuni ya EDMARK

Nov 26, 2015
80
3
Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania.Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na zimethibitisha na TFDA.
Kampuni inatoa fulsa kwa watu wote ambao wangependa kuwa sehem ya kampuni kama mawakala.
Ada ya kujiunga na kampuni ni kiwango cha chini Sh 168,000.
Kiwango cha juu Sh 396,000.Ada hiyo utapewa na bidhaa za kuanza nazo.

FAIDA ZA KUJIUNGA
1.Utanunua bidhaa kwa bei ya chini na kuuza kwa bei ya juu ambapo utapata faida ya hadi asilimia 25%.
2.kila bidhaa utakayo nunua itakupa point .Zikifika 12000 kampuni itakutambua kama manager na itaanza kukulipa asilimia 14% ya mapato ya kampuni kila mwezi.

Kwa maelezo zaidi 0683109166.

Pia unaweza ukatembele www.edmarker.com
 
sijawahi kuwaelewa Kwa kweli.mpaka Leo nalazimishwa kujiunga...
kuna jamaa yangu alinialika kuhudhuria seminar ya alliance global,kidogo wanapiga makofi,mara anayetaka kumiliki nyumba kama hii,watu mikono juu,mimi nimekula ndita,sipigi Kofi Wala kuinua mkono juu.msemaji akanipiga dongo,sikuwahi kurudi tena.
 
Back
Top Bottom