Fursa ya Biashara/ Ajira huru (freelance)

ImanuelNS

Member
Mar 18, 2021
8
9
Habari wana Jamii Forum humu ndani!

Utangulizi

Dalium Technology ni kampuni changa iliyondwa na vijana wa kitanzania. Kampuni hii inajikita katika utoaji wa huduma za kitechnolojia ( Tech Services ) katika ngazi za biashara binafsi, mashirika, taasisi na makampuni. Pia inajihusisha na utafutaji masoko kwa njia za kidijitali ( Digital marketing) na branding.

Huduma zetu ni kama zifuatavyo:
  • Website Design and Development.
  • Web hosting and Domain registration.
  • iOS and Android app design & development .
  • Software development, integration & maintenance. ( software Za biashara, saccos, hospitali, Pharmacy, shule, mashirika, Taasisi)
  • Network integration, management and Maintenance.
  • Internet Providing.
  • Cloud service
  • AI and Machine learning
  • 2d & 3D Game development by unity.
  • Information/ systems security ( IS) & Pen test.
  • Web app design and Development.
  • IT management & consultancy.
  • System design and architecture.
  • Product and service brand design.
  • Graphic design.
Digital Marketing ( Masoko kidijitali)
  • Social Media marketing campaign.
  • Email Marketing
  • Search Engine Optimization.
  • Branding campaign
  • Experiential Marketing/ Event launching.
  • Road show marketing
Fursa

Kampuni yetu inatoa fursa kwa wadau wote na watu wote kujitengenezea Kipato pasipo kuvunja ratiba zao za kila siku na majukumu yao mengine. Kwa kufanya Freelance marketing ama utafutaji huru wa masoko.

Wajibu na Majukumu

Jukumu lako kama Afisa wa masoko huru wetu ( Freelance marketer ) ni kutafuta soko la huduma yetu moja ama zaid, kumuimiza mteja anunue huduma yetu, ku hakikisha na kusimamia ufanikishaji wa biashara kati yetu na mteja.

Mshahara na Malipo

Malipo ya freelance marketer Yatafanyika kwa njia ya commission yaani asilimia 30% ya mauzo ya huduma na malipo haya yatafanyika baada ya ufanikishaji wa project/kazi kwa asilimia 100 na utimilivu wa malipo yote ya mteja.

Kwa kazi yenye ujira mkubwa kampuni yetu itazingatia na kuongeza kiwango cha commission.

Ziada
  • ilikulinda maslai yetu sisi na wewe, kabla ya kila project kutakuwa na utiaji sign wa mkataba wa MOU & MOA ( memorandum of understanding ama memorandum of Agreement).
  • Kulinda brand ya kampuni. Marketing content ama rasiliamali za masoko zitatolewa tuu kwa freelance marketers waliofanikisha project kadhaa.
Kwa Mawasiliano zaid:

Phone: 0621455050
Au fika Offisini kwetu: Waweza wasiliana nasi kuelekezwa.
 
kwa mfano kuna kazi nimepata sehem na mimi kuifanya hiyo kazi siiwezi..nikiwafowardia nyinyi napata mgao asilimia ngap??
 
kwa mfano kuna kazi nimepata sehem na mimi kuifanya hiyo kazi siiwezi..nikiwafowardia nyinyi napata mgao asilimia ngap??

Normal commisjon ni 30%. Ila pia kama kaz ina maslai makubwa negotitation inaruhusiwa kwa maana ya majadiliano ya juu ya ongezeko la asilimia ya commision lifikie had ngap.
 
Habari wana JamiiForum, Humu ndani.

Utangulizi

Dalium Technology ni kampuni ya kitechnolojia changa iliyondwa na vijana wa kitanzania. Kampuni hii inajikita katika utoaji wa huduma za kitechnolojia ( Tech Services ) katika ngazi za biashara binafsi, mashirika, taasisi na makampuni. Pia inajihusisha na utafutaji masoko kwa njia za kidijitali ( Digital marketing) na branding.
Huduma zetu ni kama zifuatavyo:
  • Website Design and Development.
  • Web hosting and Domain registration.
  • iOS and Android app design & development .
  • Software development, integration & maintenance. ( software Za biashara, saccos, hospitali, Pharmacy, shule, mashirika, Taasisi)
  • Network integration, management and Maintenance.
  • Internet Providing.
  • Clouds service
  • AI and Machine learning
  • 2d & 3D Game development by unity.
  • Information/ systems security ( IS) & Pen test.
  • Web app design and Development.
  • IT management & consultancy.
  • System design and architecture.
  • Product and service brand design.
  • Graphic design.
Digital Marketing ( Masoko kidijitali)

  • Social Media marketing campaign.
  • Email Marketing
  • Search Engine Optimization.
  • Branding campaign
  • Experiential Marketing/ Event launching.
  • Road show marketing

Fursa

Kampuni yetu inatoa fursa kwa wadau wote na watu wote kujitengenezea Kipato pasipo kununua ratiba zao za kila siku na majukumu yao mengine. Kwa kufanya Freelance marketing ama utafutaji huru wa masoko.

Wajibu na Majukumu

Jukumu lako kama Afisa wa masoko huru wetu ( Freelance marketer ) ni kutafuta soko la huduma yetu moja ama zaid, kumuimiza mteja anunue huduma yetu, ku Hakikisha na kusimamia ufanikishaji wa biashara kati yetu na mteja.

Mshahara na Malipo

Malipo ya freelance marketer Yatafanyika kwanjia ya commission yaani asilimia 30% ya mauzo ya huduma na malipo haya yatafanyika baada ya ufanikishaji wa project/kazi na kwa asilimia 100 na utimilivu wa malipo yote ya mteja.
Kazi inapokuwa na ujira mkubwa kampuni yetu itazingatia na kuongeza kiwango cha commission.

Ziada
  • ilikulinda maslai yetu sisi na wewe, kabla ya kila project kutakuwa na utiaji sign wa mkataba wa MOU & MOA ( memorandum of understanding ama memorandum of Agreement).
  • Kulinda brand ya kampuni. Marketing content ama rasiliamali masoko zitatolewa tuu kwa freelance marketers waliofanikisha project kadhaa.

Kwa Mawasiliano zaid:
Email: info@daliumtech.co.tz
Website: www.daliumtech.co.tz
Phone: 0621455050
Au fika Offisini kwetu: Waweza wasiliana nasi kuelekezwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom